CCM Zanzibar imeinyooshea kidole Ikulu ya Rais Mwinyi kwa kutumia Ikulu kufanya biashara na ufisadi Zanzibar. Msikilize Mwenezi Khamis Mbeto akielezea. Serikali ya Rais Mwinyi imekumbwa na kashfa kubwa za ufisadi ikiwemo kuuza bandari ya Zanzibar kwa Wafaransa ambapo inasemekana Rais Hussein Mwinyi amepewa asilimia ishirini na tano ya biashara huku mbia wake Mbunge Toufiq Salim Turky akipewa asilimia tano.
